MAHITAJI YA MAFUNZO
- Counter book 2quire 1 Pen
- Fail 1 (Sping File)
- Laptop/Pc kama Unayo.
MAMBO YASIYORUHUSIWA
Kugombana. (Kupiga au Kupigana)
Kuzua au kueneza taarifa za uongo zinazoweza kupelekea Ugomvi
Kukiuka Ratiba au Utaratibu wa Mafunzo Kutohudhuria Vipindi na Kuacha kufanya Majaribio(Assinment/Quiz,Test) Matumizi ya Simu wakati wa Mafunzo Dharau au Kiburi (Kutowaheshimu wenzio au Watoa Mafunzo) Kuharibu kwa kukusudia vitendea kazi vya mafunzo Kutolipa Ada au Kutolipa kwa Wakati
No comments:
Post a Comment