VICHWA VYA HABARI MAGAZETINI
TAIFA STARS YA NG'ARA DHIDI YA EQUIRORIAL GUINEA
Jana Nov 16,2019
Katika Uwanja wa Taifa jijini Dar -es-salaam, katika michuano ya kufuzu AFCON 2021 Taifa stars uliyopo kundi J imeanza vyema kwa kuweza kuifunga Equitorial Guinea kwa mabao 2-1
Magoli hayo kwa upande wa Equitorial Guinea dk ya 15 waliweza kupata bao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Pedro Obiang. dk 68 kwa upande wa Taifa stars, Simon Msuva aliipatia timu yake bao la kwanza,mnamo dk 90 kupitia kwa Kiungo Salum Abubakari aliliandika bao la lipi Taifa stars. Timu zilizopangwa kundi J ni pamoja na Tunisia na Libya.
KIKOSI CHA TAIFA STARS |
KIKOSI CHA EQUATORIAL GUINEA |
No comments:
Post a Comment