TEKNOLOJIA
Teknolojia ya Kitanzania kusaidia vita dhidi ya Ebola DRC
Huku matukio ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ebola yakiripotiwa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya nchi hiyo imewasilisha
ombi kwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine Tanzania (SUA) ili waweze
kutumia nyenzo ya AfyaDATA sambamba na wataalam wake kwa ajili ya kupambana na ugonjwa huo.
Nyenzo hiyo ambayo inaweza kugundua iwapo mtu ama mnyama anakimelea cha ugonjwa, inaweza pia kutuma taarifa kwa haraka na kusaidia kuzuia magonjwa hususan ya milipuko.
Subscribe to:
Posts (Atom)
No comments:
Post a Comment